Ingia / Jisajili

Bernad Mwampamba

Mfahamu Bernad Mwampamba, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Bukoba Parokia ya kimwani

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Bukoba

Parokia anayofanya utume: kimwani

Namba ya simu: 0766672952

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Bernad Laurent Mwampamba alizaliwa tar 08/08/1983 katika mkoa wa Mbeya. Alisoma shule ya secondary St. Mary's seminary Mbalizi iliyopo mkoani Mbeya 2001 - 2008 na Baadae kujiunga na Chuo Kikuu Cha Dodoma 2009 - 20012. kwa sasa ni mtumishi wa umma katika wilaya ya Muleba mkoani Kagera.

Pia anafanya utume wa uimbaji, na mwalimu wa kwaya ya Mt. Cesilia parokia ya kiwani Jimbo la Bukoba. Kwa namna ya Pekee anawashukuru walimu waliomfundisha mziki na kumlea kimziki, Mwl C. Chaungwa, J. Chaugwa, S.D. Masanja, T. Mng'ani, F. Mitimingi, Mr. Tenela na L. Maila.

pamoja na hayo yote, Bado anahitaji jicho pekee la muziki ili apate maarifa mapana na nguvu ya kumtumikia Mungu katika utume wa Uimbaji