Ingia / Jisajili

Boniface Kanyali Mwaniki

Mfahamu Boniface Kanyali Mwaniki, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Nairobi Parokia ya Kitui

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 4 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Nairobi

Parokia anayofanya utume: Kitui

Namba ya simu: +254728943751

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Boniface Kanyali ni Mwalimu wa nyimbo za kikatoliki mwenye umahiri mkubwa haswa katika mambo ya teknolojia na utunzi wa nyimbo.