Ingia / Jisajili

Carlos Ng'ombo

Mfahamu Carlos Ng'ombo, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la DODOMA Parokia ya Kibaigwa

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 7 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: DODOMA

Parokia anayofanya utume: Kibaigwa

Namba ya simu: 0752429358

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Mwalimu Carlos Ng'ombo anaishi mkoa wa Dodoma anafanya utume wake wa uimbaji katika Jimbo kuu kuu la Dodoma, parokia ya mtakatifu Antony wa Padua iitwayo Kibaigwa

Pia mwalimu Carlos Ng'ombo anafanya kazi yake na kwaya ya mtakatifu Gemmae Galgan kigango cha Ngomai,,,,,, kwa namna ya pekee kabisa mwl Carlos Ng'ombo anaimba sauti zote kama mwl aliyejaliwa kipaji hiki..

Mungu akulinde na kukutunza maana wewe ni hazina yake hapa Duniani katika kristo Bwana utumikie na kuwajibika vyema katika utume wako siku zote milele na milele Amina