Ingia / Jisajili

Changura Datius

Mfahamu Changura Datius, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Kayanga Parokia ya rukuraijo

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Kayanga

Parokia anayofanya utume: rukuraijo

Namba ya simu: 0747277146

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Kuzaliwa, kijiji Cha kakerere kata ya nkwenda wilaya ya kyerwa na kuendelea na elimu ya msingi katika shule ya msingi kakerere na elimu ya upili katika shule ya sekondari Nkwenda na kuendelea na chuo pamoja na mziki mkoani mtwara katika chuo Cha afya sayansi shirikishi mtwara pamoja na masomo ya kawaida kama mwanachuo kada ya famasia