Ingia / Jisajili

Cleophace Ng'waigwa John

Mfahamu Cleophace Ng'waigwa John, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mwanza Parokia ya Bujora

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 6 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Mwanza

Parokia anayofanya utume: Bujora

Namba ya simu: 0754824107

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mimi naitwa Cleophace Ng'waigwa John nimezaliwa mnamo tar 13-09-1963 Ktk Kijiji Cha Lugeye wilaya ya Magu,Nimeingia kwenye tasnia hii ya muziki Mtakatifu nikianzia kufundisha nyimbo za asili ya utamaduni wa kisukuma ktk makumbusho ya Bujora,Hatimaye nilijiendeleza na kusoma muziki (notion) na kupata uzoefu wa kutafsiri nyimbo kwa njia ya nota na kwa Sasa Ni mwalimu ninatunga na kufundisha nyimbo mbalimbali,Nje ya maswala ya muziki wa kanisa ninafanya kazi za kilimo..!! Karibuni Tumwimbie Bwana ktk roho na kweli.