Ingia / Jisajili

Cosmas Mbwaga

Mfahamu Cosmas Mbwaga, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la MBEYA Parokia ya MT. PATRICK VWAWA.

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: MBEYA

Parokia anayofanya utume: MT. PATRICK VWAWA.

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

MAWAZO NINAYOWAWAZIA NINYI.

Bwana asema mawazo ninayo wawazia ninyi, ni mawazo ya Amani, wala si mawazo mabaya X2. Nanyi mtaniita nami nitawasikiliza, nami nitawarudisha , toka mahali pote watu wenu waliofungwa. x2.

1: Bwana na Mungu wetu tunakuomba utujarie, tufurahi katika kukutumikia.

2: Maana kama tunakutumikia siku zote, wewe ndiwe Muumba wa vitu vyote.

3: Tunayo heri heri iliyokamili siku zote, siku zote milele na milele.