Ingia / Jisajili

DANIEL NJUKIA

Mfahamu DANIEL NJUKIA, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Eldoret Parokia ya Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi - Kapyemit

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Eldoret

Parokia anayofanya utume: Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi - Kapyemit

Namba ya simu: +254707642647/+254785566261

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Ni mwalimu mcheshi na mwungwana, mstahimilivu na mwenye tungo zenye tafakari. Amelelewa katika familia ya Wakatoliki wacha Mungu. Hivyo ni mkatoliki anayeifahamu dini. Pia ni mwalimu aliyefunza katika mtaala wa elimu ya Kenya 8-4-4 na ule wa umilisi(CBC). Ameshinda mtaji kadha wa kadha katika mashindano ya muziki na tamasha za maigizo. Ni mtu wa haiba yake. Ana familia, mke na watoto anaowapenda kwa moyo.