Ingia / Jisajili

Deogratias Mhumbira

Mfahamu Deogratias Mhumbira, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Arusha Parokia ya Burka

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 34 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Arusha

Parokia anayofanya utume: Burka

Namba ya simu: +255 754 499 257

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Kujiunga na kwaya: May 1978 - Upanga Parish, Dar es Salaam

Kuanza kuimbisha (conducting): 9th Sep 1979

Kujifunza muziki: Form 1 - 2, Azania Sec. School (1980 - 1981), kisha nikajiendeleza kupitia vitabu, walimu mbalimbali, n.k.

Nimeongoza kwaya tangu: 1981

Nilianza kutunga nyimbo tangu: 1990

Nilihamia Jimbo la Arusha 1992, ambako nimekuwa kwenye kwaya hadi 2004.

Kwa sasa ni mshauri wa uimbaji (Vocal Consultant), mtayarishaji wa muziki (Music Producer) na msanifu michoro (Graphic Designer) kwenye kampuni ya GrandMaster Records.