Ingia / Jisajili

Dr. Basil B. Tumaini

Mfahamu Dr. Basil B. Tumaini, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Moshi Parokia ya Kilema

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 29 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Moshi

Parokia anayofanya utume: Kilema

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Nilisoma O-level: Bihawana Seminary
A-Level: Salesian Seminary.
Shahada ya Udaktari: Muhimbili University.
Pia ni Mtunzi, Mwalimu wa kwaya na Mcheza kinanda. Nimeshakuwepo kwaya
tofauti tofauti, Kubwa: Kwaya ya Mtakatifu Yuda Thadei (Manzese
Parish-DSM) na sasa nipo Kwaya ya Mt. Cesilia (Kilema Parish-Moshi).