Ingia / Jisajili

Dr.Colletha Philipo Pilly (CPP)

Mfahamu Dr.Colletha Philipo Pilly (CPP), mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la DAR ES SALAAM

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: DAR ES SALAAM

Namba ya simu: +255719071144

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Dr.Colletha, ni Mwanamuziki ambaye anapatikana jimbo kuu la dar es salaam ni mwalimu na mwimbaji kutoka kwaya ya Mt.Don Bosco Kimanga (KMD) 

Ameanza safari yake ya muziki mwaka 2022 chini ya mwl WAZIRI MALAMBE katika muendelezo wa utume wa uimbaji na safari maisha amekuwa pia mwimbaji na mwalimu wa kwaya katika kwaya ya Mt.Agustino iliyopo Parokia ya mt.Agustino Korogwe tanga (manundu) na ndipo akaanza safari ya utunzi wa nyimbo za kanisa chini ya Mwl Dalmatius P.G.F

Ni Daktari muuguzi na tabibu wa afya za watu