Ingia / Jisajili

Dr.cosmas H. Mbulwa

Mfahamu Dr.cosmas H. Mbulwa, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la tabora Parokia ya kipalapala

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 142 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: tabora

Parokia anayofanya utume: kipalapala

Namba ya simu: 0787237022

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

DR. MBULWA H. COSMAS NI DR. BINGWA KATIKA HOS[PITAL YA RUFAA YA  YA ZIWA BUGANDO, ANAHUDUMU KATIKA KWAYA YA MT YUDA THADEI, TANGU MWAKA 2006 HADI 2011, 2012 ALIHUDUMU KATIKA KWAYA YA MT YUDA JIMBO KUU MWANZA. 2013 -2016 ALIHUDUMU KATIKA KWAYA YA MT PETER HUKO KAMPALA UGANDA AMBAKO ALIFANIKIWA KUREKODI NAO WIMBO CD MOJA YENYE WIMBO WAKE MMOJA  UITWAO NASIKIA NDEREMO NA VIFIJO.

KWA SASA DR MBULWA ANAHUDUMU KTK CHAPLAIN YA CHUO KIKUU -CUHAS BUGANDO MWANZA, ANAKIKUNDI CHAKE BINAFSI KINACHOITWA  COHEMBUKA CATHOLIC SINGERS MWANZA.