Ingia / Jisajili

Dr Egbert Baguma

Mfahamu Dr Egbert Baguma, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Kiluvya

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam

Parokia anayofanya utume: Kiluvya

Namba ya simu: 0765842859

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Naitwa Dr Baguma nimezaliwa mwaka 1985 ktk kata ya Mubunda wilaya ya Muleba mkoani Kagera Ni Mwl wa kwaya ktk kanisa katoliki nje ya muziki Mtakatifu wa kanisa katoliki Ni Doctor wa Binadamu..!! Asanteni.