Ingia / Jisajili

Edrick E Muganyizi

Mfahamu Edrick E Muganyizi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Bukoba Parokia ya Kijwire

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 39 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Bukoba

Parokia anayofanya utume: Kijwire

Namba ya simu: 0788810427

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto sita. Tangu nikiwa mdogo nilipenda sana kuwa padre nilifanikiwa kujiunga na seminari ila kutokana na changamoto za kiuchumi sikuweza kufikia ndoto yangu ya kuwa padre na ndipo nilipoamua kumtumikia Mungu kwa njia ya utume wa uimbaji.

NAPENDA SANA KUIMBA