Ingia / Jisajili

Edward B. Bulugu (Madaha)

Mfahamu Edward B. Bulugu (Madaha), mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la GEITA Parokia ya NYANTAKUBWA

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 16 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: GEITA

Parokia anayofanya utume: NYANTAKUBWA

Namba ya simu: 0757003183

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Mwalimu Edward B. Bulugu ni Mwl wa kwaya ya Kigango cha Nyantakubwa pia ni Mwl wa kwaya ya muungano ya Parokia ya Nyantakubwa. Pia anafahimika kama mwl Madaha (Baya)