Ingia / Jisajili

Eng. Imani Raphael M. B.

Mfahamu Eng. Imani Raphael M. B., mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Chuo Kikuu ch Dar es Salaam

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 17 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam

Parokia anayofanya utume: Chuo Kikuu ch Dar es Salaam

Namba ya simu: +255 689017792

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Najifunza muziki ili hatimaye niweze kufikia kiwango kinachofaa kumtumikia Mwenyezi Mungu kwa njia ya uimbaji. Napenda kuimba sauti  ya nne kucheza kinanda na kupimisha . Ni mwanafamilia na mwalimu wa kwaya kuu ya Mt. Agustino parokia ya Chuo Kikuu.