Ingia / Jisajili

Eng. Joseph Silvester

Mfahamu Eng. Joseph Silvester, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es salaam Parokia ya Kristo Mfalme

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es salaam

Parokia anayofanya utume: Kristo Mfalme

Namba ya simu: 0758850065

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Shalom....

Jina langu ni Joseph Silvester, nimefanikiwa kuhitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo cha kilimo cha Sokoine (SUA-Morogoro) kwa shahada ya Uhandisi wa Kilimo, ninaimba sauti ya tatu kwenye kwaya ya Kristo Mfalme Tabata(KKMT). Nilianza rasmi safari ya uimbaji mwaka 2010 kama muimbaji wa kawaida na nilifanikiwa kuwa mwalimu mwaka 2012 baada ya kufundishwa na marehemu Mwl Robert Kawite. Wakati wa masomo niliwahi kuimba kwaya za Bikira Maria Imakulata (St Joseph) na Kwaya ya St Joseph -Songea Ninapenda kumuimbia Mungu nyimbo zenye kumtukuza yeye kwani yeye ndiye msaada katika mafanikio yangu yote. Amina