Ingia / Jisajili

Festo Mapunda

Mfahamu Festo Mapunda, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la MBINGA Parokia ya MBINGA

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: MBINGA

Parokia anayofanya utume: MBINGA

Namba ya simu: 0768842994

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

                                                                          NAENDA MIMI NIKATOE 

1.Naenda Mimi nikatoe Sadak yangu ..x2

Ee Ndugu twende kwa Bwana mtolee Mungu wako cho chote kwa mapendo atakipokea ...x2

1.Tumtolee Bwana Mungu zawadi zetu zote tulizo nazo (Ee Ndugu twende)

2.Wiki nzima Bwana, ametulinda vema, nasi tumshukuru (Ee Ndugu twende)

3.Sote tunaishi, kwa nguvu zake Bwana, aliye MUngu (Ee Ndugu twende)

4. Mazao ya shamba , yote ni mali yake, tumtelee (Ee Ndugu twende)

5. Fedha tunatoa, tunatoa kwa Moyo, ziwe mali ya (Ee Ndugu twende)

6. Japo ni kidogo, kwa Bwana Mungu wetu, Bwana (Ee Ndugu twende)

Shukurani zetu, kwa mema yake Mungu, tumtolww (Ee Ndugu twende)

8. Sala twazitoa, kwa huyo Bwana Mungu, Mungu wa Ulimwengu (Ee Ndugu twende)