Ingia / Jisajili

Filbert Thoy

Mfahamu Filbert Thoy, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Tabora Parokia ya Ipuli

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 67 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Tabora

Parokia anayofanya utume: Ipuli

Namba ya simu: +255 756 039 530, +255 713 427 234

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Nilianza utume huu wa uimbaji toka niko shule mwaka 1996 na nikaanza kuandika nyimbo mwaka 2006 katika parokia ya Urambo mkoa wa Tabora. Mwaka 2002 nilihamia Tabora kwa masomo zaidi na kwa sasa Naishi Tabora nikiwa nafanya kazi katika shirika la Tanesco Tabora.