Mfahamu Fortune Shimanyi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Iringa Parokia ya Mshindo
Idadi ya nyimbo SMN: 115 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Iringa
Parokia anayofanya utume: Mshindo
Namba ya simu: +255765449914 au +255718717218
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Ninaimba sauti ya nne(bass), Nilianza uimbaji nikiwa shule ya msingi(Mkunguni Pr. School)-Kinondoni-Dar Es Salaam na kujifunza muziki wa nota na kutunga nyimbo nikiwa kidato cha kwanza( Moshi Technical Sec School)-Kilimanjaro, nimeendelea kufundisha na kuimba kwaya mbalimbali nikiwa kidato cha 5 na 6 (Ndanda Boys High School)-Mtwara, na sasa niko Mkwawa University-Iringa. Mda wangu mwingi wa ziada(nikiwa nje ya masomo) nautumia kutunga nyimbo mpya na kuchora(software notation) nyimbo za watunzi wengine na kuziweka kwenye mtandao ili wengi waweze kuzipata kwa urahisi