Ingia / Jisajili

FR. GABRIEL MRINA

Mfahamu FR. GABRIEL MRINA, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la MBULU Parokia ya MASAKTA

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 56 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: MBULU

Parokia anayofanya utume: MASAKTA

Namba ya simu: 0628630030

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mimi ni Fr. Gabriel Mrina wa Shirika la Mitume wa Yesu. nimekuwa mwalimu wa kwaya na mtunzi wa nyimbo kadha tangu mwaka wa 1984. Nilikuwa mwanafunzi wa hayati Fr.Dr. Charles Nyamiti kwa muda wa miaka mitano. imenipendaza kuchangia baadhi ya nyimbo zangu hasa wakati huu wa mwezi wa Mama Maria, na baadhi ya nyimbo nyingine. nawashukuru kwa kunipokea kwenye mtandao. Munngu awabari sana.