Ingia / Jisajili

Francis Onesmo Leons

Mfahamu Francis Onesmo Leons, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Singida Parokia ya Kristo Mfalme

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Singida

Parokia anayofanya utume: Kristo Mfalme

Namba ya simu: 0767216647

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Ni mwalimu na mpiga kinanda kwasasa anahudumu parokia ya Roho Mt Babati jimbo la Mbulu.Muziki alianza 2016 walimu waliomfundisha ni John Sebeha ,Edmund Balili, Maxmiliam Mashamba, Leonard Sons ,Paschal VK(PAVEKO) na wengine wengi....anapenda sana kufuatilia nyimbo za F.E.Nyanza,Venant ,Mabula,Maxmiliam Mashamba Shanel Komba Deo Muhumbira pongezi kwao