Ingia / Jisajili

FRT.Ewald Shauritanga

Mfahamu FRT.Ewald Shauritanga, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Moshi Parokia ya Olele

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 4 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Moshi

Parokia anayofanya utume: Olele

Namba ya simu: 0745389795

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Ewald Shauritanga Nicodemus ni mzaliwa wa jimbo katoliki Moshi.Ni mtoto wa nne kati ya watoto saba kwenye familia ya baba Nicodemus na mama Dionister. Kwa sasa ni Frateri wa Jimbo Kuu Arusha na anasoma masomo ya Falsafa (Taali dunia) katika seminari kuu ya Kibosho ilipo jimbo la Moshi