Ingia / Jisajili

Geoffrey Mogendi

Mfahamu Geoffrey Mogendi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la kisii kenya Parokia ya Parokia ya Our lady of victory Kisii mjini

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 11 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: kisii kenya

Parokia anayofanya utume: Parokia ya Our lady of victory Kisii mjini

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Nikianza mziki 2010 ambapo niliguzwa na utume wa kuhubiri kupitia kwa nyimbo, kwa sasa hivi naendelea kumsifu Mungu kwa nyimbo za masifu na kiiturujia Was inspired by Mkude. Alafu mziki niliingia shuleni nikasoma. MASAI MARA UNIVERSITY Kidanda nilisaidiwa na Mwalimu mkude kiasi