Ingia / Jisajili

Geofrey Maangi

Mfahamu Geofrey Maangi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Kisii Kenya Parokia ya Mosocho

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Kisii Kenya

Parokia anayofanya utume: Mosocho

Namba ya simu: 0769850250

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Amezaliwa Mosocho sub location County ya Kisii Kenya. Mwaka2000 Akasoma St Patrick Primary school Na Kisha kuendelea masomo ya upili katika sekondary Menyenya high school Akamaliza mwaka 2019 Akaenda chuo Sensei college akisomea Plant operation. Kwa Sasa Yuko kisii akijihusisha na uimbaji. Kwaya alizowahi kuimbia ni St Barbara Mosocho Parish, Shepherds Singer's nk. Pia alikuwa na mapenzi ya muziki tangu akiwa mdogo kabisa akimfuata Bibi yake(Nyanya) Agnes Onsongo ambaye Amakuwa kichocheo Kwa Geofrey kupenda Muziki. Kwa Sasa Geofrey anajifunza Muziki chini Ya usimamizi wa Mwalimu Daniel Kashatila, Geofrey Maangi ni mzaliwa wa kwanza katika familia Ya watoto watatu akiwa na Dada moja na kaka mmoja. Kauli mbiu Yake ni NAJIFUNZA KWAKO, USINITENGE.