Ingia / Jisajili

George Ratemo

Mfahamu George Ratemo, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la kisii kenya Parokia ya Nyabururu

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: kisii kenya

Parokia anayofanya utume: Nyabururu

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Naitwa George Ratemo Nmezaliwa Kisii Kenya mwaka 1985 Ni mkatoliki tangu kuzaliwa Nmejifunza kuimba na kuimbisha tangu ujana Kwa sasa nimefanya albamu saba Natoka Jimbo katoliki la Kisii,parokia ya Nyabururu