Ingia / Jisajili

Gerion .S. Mdage

Mfahamu Gerion .S. Mdage, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Njombe Parokia ya Matembwe

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 9 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Njombe

Parokia anayofanya utume: Matembwe

Namba ya simu: +255755332374

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Tumsifu Yesu Kristu! Naitwa Gerion Sylvester Mdage. Natokea Jimbo la Njombe parokia ya Matembwe. Kwa sasa nipo Jimbo la Morogoro parokia ya Epifania - Bagamoyo. Napenda sana muziki wa kikatoliki na ni miongoni mwa walimu wa kwaya ya Mt. Donbosco parokia ya Epifania. Kwasababu elimu ya muziki ni pana naendelea kujifunza zaidi na sasa nimeanza kutunga nyimbo za kuinjilisha katika ibada ya misa takatifu. Asanteni sana na tuombeane katika utume huu wa uimbaji.