Ingia / Jisajili

Gervas M. Kombo

Mfahamu Gervas M. Kombo, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Njombe Parokia ya Matema Beach

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 26 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Njombe

Parokia anayofanya utume: Matema Beach

Namba ya simu: +255 759 389 141 / +255 682 471 800

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Nitamsifu Bwana kwa muda ninaoishi nitamwimbia Mungu wangu bado ningali hai, ameniumba mimi amenipa akili amenipa sauti nzuri kwa nini nisimsifu Mungu wangu.