Ingia / Jisajili

C.J Mwita

Mfahamu C.J Mwita, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Homabay Parokia ya St. Cecilia Isebania

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 10 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Homabay

Parokia anayofanya utume: St. Cecilia Isebania

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Nimezaliwa kijijini Nyamigwi. Mshirika wa St. Peter's Kengariso, Isebania-Kenya. Naipenda taaluma ya muziki na creative arts. Mimi pia ni mwalimu. Nimeendeleza sanaa ya muziki kupitia Chuo Kikuu cha Kabianga. Nawapongeza sana walimu wangu wa mziki-Boniface, Makarios na S. K.