Ingia / Jisajili

Jackson J Kabuze

Mfahamu Jackson J Kabuze, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la kigoma Parokia ya kibondo

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 68 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: kigoma

Parokia anayofanya utume: kibondo

Namba ya simu: 0758266056

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

ACHA NIMWIMBIE BWANA        Jackson J. Kabuze

mimi ni mwanakwaya wa sauti ya nne niliye jiuga kwaya mwaka 2007 nikianza kuwa mwanakwaya wa kwaya ya mt:kristo mfalme kigango cha katubuka parokia ya katubuka. nikahamia parokia ya bikra maria parokia ya kibondo mjini. mimi ni mwanafunzi wa kwaya master credo s mbogoye yey  kama mwalimu bora kwangu namshukuru mungu na yeye pia kwa kipagi hiki.kwani najua kuimba sauti zote 4 na  ninapigigia Mungu kinanda safi kabisa .Niatakuwa maminifu sana kwa kwaya zote na parokia zote za jimbo la kigoma na nchi nzima. kwa kufanya hivyo nitawafundisha watu wengine ili tumwimbie bwana kwa sauti safi zilizoshikamana kama note za mziki wa familia moja .AAAAMEN