Ingia / Jisajili

Jackson K. Mathai

Mfahamu Jackson K. Mathai, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Jimbo Kuu la Machakos mjini Machakos Nchi tukufu ya Kenya Parokia ya parokia Ya Mtakatifu JUDA AthiRiver, Kanisa la Mt. THOMA - Kinanie

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Jimbo Kuu la Machakos mjini Machakos Nchi tukufu ya Kenya

Parokia anayofanya utume: parokia Ya Mtakatifu JUDA AthiRiver, Kanisa la Mt. THOMA - Kinanie

Namba ya simu: +254712215397

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Jackson Kyaya Mathai ni mwalimu, mtunzi wa muziki hapa nchini Kenya na pia mcheza kinanda. Hujishughulisha sana katika utunzi wa Mziki wa liturjia na pia kupanga upya nota. nimefanikiwa Kurekondi Kanda mbili amazo kwa kudra zake Mwenyezi Mungu zimefanikiwa kuuza na kumtukuza yeye aliye juu. Kati ya nyimbo nilizozitunga, 4 zimenyakua tuzo bora katika mashindano ya kwaya tofauti hapa nchini Kenya. Najivunia tajriba za wasanii wa mziki hapa nchini Kenya kama vile Mac okeyo(Mola amlaze pema) S. Otieno, Bw. Ossonga na pia Kasisi Dominic Musau (ambaye namheshimu na kumuenzi katika fani hii ya utunzi. Shukrani nyingi za dhati Kwa swahili Music Notes kwa kazi njema mnayo ifanya. Mungu na aendelee kuwaneemeshea Baraka zake. Ombi langu ni muweze kutufungulia njia ya Mpesa ili nasi tuweze kuchanga.