Mfahamu JOHN C ELISHA, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Morogoro Parokia ya Kilosa
Idadi ya nyimbo SMN: 29 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Morogoro
Parokia anayofanya utume: Kilosa
Namba ya simu: 0625634851
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Naitwa john chrispin elisha ni mzaliwa wa Morogoro kilosa mama Yangu ni mngoni baba Yangu ni Mfipa pia ni mwalimu wa music Napenda saan music pia napenda Rc katholic