Ingia / Jisajili

John Kimaro

Mfahamu John Kimaro, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es salaam Parokia ya Bikira Maria consolatta kigamboni

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 103 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es salaam

Parokia anayofanya utume: Bikira Maria consolatta kigamboni

Namba ya simu: 0756410795

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Nimezaliwa tar 11/02/1985 mkoani singida mjini. Elimu ya msingi nilianza mwaka 1996 na kuhitimu mwaka 2002. Baada ya hapo nilijiunga na masomo ya QT na baada ya hapo nilijifunza muziki kuanzia mwaka 2009 na kuhitimu mwaka 2011