Ingia / Jisajili

John Mlabu

Mfahamu John Mlabu, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Tabora Parokia ya Nzega

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 25 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Tabora

Parokia anayofanya utume: Nzega

Namba ya simu: +255688322288

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Ni mwalim wa kwaya ya YESU KRISTO MFALME napenda kuimba na kucheza kinanda namshukuru sana Mungu kwa kunijalia karama hii, namwomba azidi kuniongoza na kunibariki na aendelee kunimiminia BARAKA zake AMINA