Ingia / Jisajili

Joseph abdala

Mfahamu Joseph abdala, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Songea Parokia ya Mjimwema

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 9 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Songea

Parokia anayofanya utume: Mjimwema

Namba ya simu: 0752931902

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Kwa majina naitwa JOSEPH ABDALA .Ni mtoto wa katika familia ya watoto wanne .Nimezali mwaka 1998 .nilinza shule ya msingi 2005 shule kambarage baada kumaliza la saba nikajiunga nakwaya mt. Donbosco mkuzo ndipo safari yangu ya kimuziki ndipo ilipo anza nikaendelea na masomo ya secondary msamala high school atimaye nikaendelea na masomo yangu ya secondary form 5 na 6 bagamoyo secondary (pwani) ndipo nikampata mwalimu wa muziki alinifundi kwa moyo wote nipo maliza masomo nikaludi nyumba kuendelea na darasa la muziki ambalo walitufundisha walimu wa wili makwinya pamoja mwalimu kasambula atimaye kufikia stage yakuwa mwalimu atimaye nikajiunga na chuo kikuu dar es salaam cha IFM nikiwanachua degree atimaye.