Ingia / Jisajili

Joseph E Kashatila

Mfahamu Joseph E Kashatila, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Sumbawanga Parokia ya Chala

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Sumbawanga

Parokia anayofanya utume: Chala

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Joseph E Kashatila ni mmoja wa wanamziki Chipukizi kutoka Parokia ya Chala jimboni Sumbawanga. Alizaliwa katika Kijiji Cha Milundikwa Parokia ya Chala jimboni Sumbawanga November 2002 . Joseph Alikuwa mpenzi wa uimbaji Tangu akiwa mdogo na alikuwa na uwezo wa kuimba kila Sauti tangu akiwa mdogo. Halii hii imepelekea kuanza kujifunza muziki alipoingia pre form one seminary Ya kaengesa mwaka 2016 Amejitahidi kujifunza chini ya mwalimu kalinji na madokezo kutoka Kwa kaka yake Daniel Kashatila ambaye pia ni mwanamuziki wa kanisa Katoliki. Kwa Sasa Yuko kidato Cha sita katika shule ya secondary Nkasi mjini Namayere.