Ingia / Jisajili

Joseph Joel Nyagwata

Mfahamu Joseph Joel Nyagwata, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Morogoro Parokia ya Mungazi

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Morogoro

Parokia anayofanya utume: Mungazi

Namba ya simu: 0789213937

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mimi naitwa Joseph Joel Nyagwata nimezaliwa mnamo tar 03-06-1995 Katika wilaya ya Maswa mkoani Simiyu nimekuwa mzoefu wa Muziki Mtakatifu nikiwa Kama mwimbaji wa kawaida na baadaye kuingia darasani kujifunza zaidi kuhusu muziki wa kanisa,kwa Sasa Nina uwezo wa kufundisha na kutunga nyimbo za kanisa namsuukuru Mungu kwa hatua hiyo-Karibuni Tumwimbie Bwana ktk roho na kweli.