Mfahamu Joseph Mgallah, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mbeya Parokia ya Chombe
Idadi ya nyimbo SMN: 334 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Mbeya
Parokia anayofanya utume: Chombe
Namba ya simu: 0763150165
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Mwalimu Joseph MGALLAH ni mzaliwa wa Simba wanga mkoani Rukwa, amesoma mkoani humo kuanzia elimu ya msingi hadi Kidato cha Sita na baadaye kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa sasa anafundisha shule ya msingi ILALANGULU iliyopo Halmashauri ya wilaya ya MPIMBWE mkoani Katavi na kufanya tume wa UIMBAJI huko.