Ingia / Jisajili

Joseph Stanslaus Mashimba

Mfahamu Joseph Stanslaus Mashimba, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Jimbo la Geita Parokia ya Kalebejo/Nyantakubwa

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 6 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Jimbo la Geita

Parokia anayofanya utume: Kalebejo/Nyantakubwa

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Marehemu Mwalimu Joseph Stanslaus Mashimba, Alisoma Makoko Seminary Musoma, Kidato cha kwanza mpaka cha 4, Pia alisoma chuo cha Butimba Mwanza na kuajiliwa katika shule ya msingi Buswelu Sengerema. Katika utume wa uimbanji amehudumu kama Mwalimu kiongozi katika kwaya katika Parokia za Nyantakubwa na Kalebejo Jimbo la Geita