Ingia / Jisajili

Josephat B. Mgaya

Mfahamu Josephat B. Mgaya, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Bunda Parokia ya Nansio-Ukerewe

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 4 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Bunda

Parokia anayofanya utume: Nansio-Ukerewe

Namba ya simu: 0756707809

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mimi Josephat B. Mgaya nimezaliwa mnamo tarehe 03-01-1958 Katika Kijiji Cha Busiri-Ukerewe, Nafanya utume wangu wa kwaya Kama Mwl ktk kwaya ya Mt.Joseph Nansio Ukerewe Ni Mwl na mtunzi wa nyimbo- Nje na utume ktk muziki Mtakatifu nafanya kazi za kilimo na ujasiriamali-Karibuni Tumwimbie Bwana ktk roho na kweli.