Ingia / Jisajili

Josephat Ngusa

Mfahamu Josephat Ngusa, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Shinyanga Parokia ya Parokia ya Mt.Bakhita Ngulyati

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 10 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Shinyanga

Parokia anayofanya utume: Parokia ya Mt.Bakhita Ngulyati

Namba ya simu: 0763105115

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Josephat Ngusa,Ni Mwanakwaya na ni mwalimu wa kwaya,lakini pia ni mwanafunzi wa Chuo kikuu mwaka wa pili Chuo cha Mipango Dodoma,Anachukua Shahada ya kwanza ya Mipango miji na Maendeleo ya jamii(Bachelor degree in planning and community development) Anafanyia utume katika kwaya ya Mt.Aloys Gonzaga Chuo cha Mipango Dodoma.Anapenda mziki na ana ndoto za kufika mbali zaidi kimziki