Ingia / Jisajili

Justine Mfilinge

Mfahamu Justine Mfilinge, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Iringa Parokia ya Ifunda

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Iringa

Parokia anayofanya utume: Ifunda

Namba ya simu: 0747521262

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mzaliwa wa Iringa mnamo rarehe 1-7-1974 nimejifunza muziki mnamo mwaka 1994 huko Tabora nimefundisha kwaya mbalimbali nikianzua Tabora,Dsm na Iringa kwa Sasa..!! Nje na maswala ya muziki nashughulika na ujasiliamali.