Ingia / Jisajili

Kakoyo Damian Aureus Msuha

Mfahamu Kakoyo Damian Aureus Msuha, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mbinga Parokia ya Mt. Aloyce Gonzaga

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 6 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Mbinga

Parokia anayofanya utume: Mt. Aloyce Gonzaga

Namba ya simu: 0752289555

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Kakoyo D. A. M ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka 2018. Licha ya kuwa Mwl. wa muziki (nota), Damian Aureus Msuha pia ni Mwl. wa masomo mengine mawili amboyo no somo la Biologia na Geographia. Mwl. Kakoyo D.A.M alianza safari ya utume wa uimbaji mwaka 2009 akiwa kidato cha kwanza na kushawishika kusoma muziki mwaka 2013 akiwa kidato cha tano baada ya kuwa na shauku kubwa na kuona umuhimu mkubwa kufanya hivyo.