Ingia / Jisajili

Kam's Swana

Mfahamu Kam's Swana, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Lubumbashi-DRC Parokia ya Saint -Esprit ( Roho Mtakatifu) /Kasapa University, kwaya Coeur Immaculé de Marie C.C.I.M ( kwaya MOYO SAFI WA BIKIRA MARIA)

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 11 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Lubumbashi-DRC

Parokia anayofanya utume: Saint -Esprit ( Roho Mtakatifu) /Kasapa University, kwaya Coeur Immaculé de Marie C.C.I.M ( kwaya MOYO SAFI WA BIKIRA MARIA)

Namba ya simu: +243 81 099 29 44

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Kam's swana

Mwimbaji ndani ya kwaya Coeur Immaculé de Marie C.C.I.M ( kwaya MOYO SAFI WA BIKIRA MARIA)

Lubumbashi-DRC, Parokia la Roho Mtakatifu/ Kasapa University.

Mtunzi Nyimbo la dini Katolika tangu mwaka 2012 kisha mafunzo ya Music ndani ya Kwaya hii. kupitia Kaka Gilbert KILIMO Mwalimu wangu, na mashauri za wa kaka wengine.