Ingia / Jisajili

Kazimili Makingili

Mfahamu Kazimili Makingili, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la KIGOMA Parokia ya MAKERE

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 13 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: KIGOMA

Parokia anayofanya utume: MAKERE

Namba ya simu: 0684896378

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Kazimili makingili ni mwalimu sekondari ya Herembe iliyo kigoma kusini, ni mwimbaji ,mpiga kinanda na mtunzi anayechipukia. anapenda sana

huduma hii kwani ina mburudisha.malengo yake ni kutaka kuwa mtunzi na mpiga kinanda wa nyimbo za classical. Kwa sasa anaimbia kwa mt. trezia iliyoko  Herembe Kigoma  kusini.Anapenda siku moja watu waige kutoka kwake