Mfahamu Leonard Tete, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la TABORA Parokia ya SIKONGE
Idadi ya nyimbo SMN: 174 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: TABORA
Parokia anayofanya utume: SIKONGE
Namba ya simu: +255764342519
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Leonard Tete ni mwanakwaya wa muda mrefu anaimba sauti ya Nne.
Pia ni Mtunzi Chipukizi. Kwa sasa anaishi Ipole Sikonge.