Ingia / Jisajili

Lisley J Kimbwi

Mfahamu Lisley J Kimbwi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Tanga Parokia ya Saruji Tanga

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 10 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Tanga

Parokia anayofanya utume: Saruji Tanga

Namba ya simu: 0787437032

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Ni mtanzania, mkristo mkatoliki, amebatizwa kapata komunyo, kipamara na ndoa anaishi kigangoni pongwe parokia ya saruji Mawasiliano 0787437032 au 0719188158