Ingia / Jisajili

LOPUYO PAULO LOKWAWI (LPL)

Mfahamu LOPUYO PAULO LOKWAWI (LPL), mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Lodwar-Kenya Parokia ya Maria mama wa Mungu-Kalokol

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Lodwar-Kenya

Parokia anayofanya utume: Maria mama wa Mungu-Kalokol

Namba ya simu: +254110853547

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Lopuyo Paulo Lokwawi, ni mzaliwa wa mwaka 2000 kule Turkana, Kenya. Amekulia sehemu hii tangu utotoni hadi alipokwenda seminari ndogo ya Mitume wa Yesu kule Uganda alipojifunza muziki. Baadae alijiunga na chuo kikuu cha Nairobi kwa masomo ya Physikia na Hisabati. Alijiunga pia na chuo kikuu (University of the People) cha marekani kwa masomo ya Sayansi ya afya.