Ingia / Jisajili

LUKA JOHN WALLAGA

Mfahamu LUKA JOHN WALLAGA, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la SHINYANGA Parokia ya MALAMPAKA

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 7 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: SHINYANGA

Parokia anayofanya utume: MALAMPAKA

Namba ya simu: 0625411737

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mtunzi LUKA JOHN WALLAGA ni mzaliwa wa kigango Cha KIDEMA Parokia ya SAYUSAYU Jimbo la SHINYANGA. Kwa Sasa anafanya kazi ya utume kama MWALIMU (Katekista) katika Kigango Cha MUHIDA Parokia ya MALAMPAKA Jimbo la SHINYANGA. Elimu ya mziki ameipata katika chuo Cha KALEMA kilichopo MPANDA, KATAVI.