Ingia / Jisajili

Makoye Hamuli, F.

Mfahamu Makoye Hamuli, F., mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es salaam Parokia ya Mt. Theresia wa mtoto wa Yesu

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es salaam

Parokia anayofanya utume: Mt. Theresia wa mtoto wa Yesu

Namba ya simu: 0654 315 559

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Ni mtunzi wa nyimbo za kikatoliki pia ni mwalimu katika parokia ya mt. Theresia wa mtoto Yesu Mbezi mwisho (Mazulu) kigango cha Bikira Maria Imakulata kwaya ya mt. Secilia Goba Matosa anaimbia sauti ya tatu.