Ingia / Jisajili

Malkiadi umbu

Mfahamu Malkiadi umbu, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mbulu Parokia ya Karatu

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Mbulu

Parokia anayofanya utume: Karatu

Namba ya simu: 0621071000

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

MALKIADI UMBU . NI mzaliwa wa parokia ya mt. Sirili yerusalemu endabashi dekani ya karatu nahudumu utume wangu katika parokia ya bikira maria malkia wa mitume karatu nilianza kuimba kwaya mwaka 2010 nikija kidato cha pili nilitoka familia ya madhebu tofauti ila kwaya za katoliki zikanivutia mpaka ikanifanya kujikinga na tycs shule ya secondary orboshani iliopo buger endabashi huko huko baada ya kumaliza shule nikaendelea kutafuta maisha nikafika katika parokia ya Bikira maria malkia wa mitume na kujiunga na kikundi cha kwaya mt maria goreti na kujiendeleza kusoma mziki hatimaye nikaweza kumaliza kwa sasa ni mwl wa kwaya mt maria goreti parokiani